HUB FACT SHEETS, INFOGRAPHICS & SUCCESS STORIES KNOWLEDGE CENTER Trade & Investment News Read Our Blog Newsletters

Tic yaingia makubaliano ya mradi na East Africa Trade And Investment Hub

Published on March 29, 2017

Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) kimesaini makubaliano ya Mradi wa East Africa and Investiment Hub kwa ajili ya uchocheaji wa uwekezaji nchini.

Akizungumza wakati wa makubaliano hayo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TIC, Cliford Tandari amesema kuwa makubaliano hayo yatachochea uwekezaji pamoja na upatikanaji wa masoko nje ya nchi.

Tandari amesema katika kufanya kazi ya mradi huo utasaidia Tanzania kupata wawekezaji kutokana na wigo uliopo katika mradi unaofadhiliwa na Shirika la Misaada la Watu wa Marekani (USAID). Read more. Source | Issa Michuzi Blog

connect

get updates